Kigoma Vijana Development Alliance

Wana Klabu Shule ya Sekondari Kichangachui

Wanafunzi wa Kichangachui katika picha

Wana klabu wa klabu ya STADI ZA MAISHA, AFYA YA UZAZI na UKATILI WA KIJINSIA kutoka katika Shule ya Sekondari KICHANGACHUI waki-shine katika picha ya pamoja na Afisa wa KIVIDEA Mariam Kadogo baada ya kufanya ufatiliaji wa klabu hiyo. Klabu imekuwa msaada mkubwa katika kuwafanya vijana kujitambua na kuweza kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili.

Ni muhimu sana Kufanya ufatiliaji wa maendeleo ya klabu ili kuzifanya kuwa bora na imara. Afisa wa shirika la Maendeleo ya Vijana Tanzania (KIVIDEA) MARIAM KADOGO akifanya ufuatiliaji katika klabu ya STADI ZA MAISHA, AFYA YA UZAZI na UKATILI WA KIJINSIA katika shule ya Sekondari KICHANGACHUI katika MANISPAA YA KIGOMA-UJIJI. Klabu za STADI ZA MAISHA , AFYA UZAZI na UKATILI WA KIJINSIA zimekuwa ni msaada mkubwa sana kwa vijana na shule katika kukabiliana na changamoto rika zinazowakabili katika mazingaira yao. Klabu hizi na shughuli zimefadhiliwa na shirika la TERRE DES HOMMES SCHWEIZ

kividea

kividea

Leave a Reply

About Us

WE ARE AN ORGANIZATION ADDRESSING POVERTY-RELATED ISSUES SURROUNDING YOUTH IN TANZANIA

Recent Posts

Follow Us

Current Video in our channel