Kuimarisha Ustawi wa Klaburika Mashuleni!

KIVIDEA inatoa mafunzo ya Usimamizi wa Klaburika 📌, Stadi za Maisha 🌱, Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Vijana (SRH) 🩺, Ulinzi wa Mtoto 👶, pamoja na Kuzuia Ukatili wa Kijinsia (GBV) 🚫, Mbinu za Unasihi za Solution-Focused Approach (SFA) 💬 kwa Walimu Walezi wa Klabu Rika (Patron & Matron), Viongozi wa Klabu (Chairperson & Secretary), Waelimishajirika (Peer Educators), pamoja na Wanakamati wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Magumu (Most Vulnerable Children Committee Members) kutoka Manispaa ya Kigoma Ujiji na Wilaya ya Uvinza. 🌍✨

“Ungana nasi katika kuwawezesha Watoto na Vijana”