TAMASHA LA VIJANA
KIVIDEA imeadhimisha siku ya vijana kwa kufanya tamasha la vijana wa nje na ndani ya shule .Kauli mbiu ikiwa ni KUELEKEA 2023:Vijana na Ujuzi rafiki
Stories of inspiration, resilience, and impact.
KIVIDEA imeadhimisha siku ya vijana kwa kufanya tamasha la vijana wa nje na ndani ya shule .Kauli mbiu ikiwa ni KUELEKEA 2023:Vijana na Ujuzi rafiki
KIVIDEA imehudhuria mkutano wa jukwaa la mashirika yasiyo ya kiserikali( NGO’s) mkoa wa KIGOMA kwa lengo la kufahamiana, kutambua mchango wa kila shirika, changamoto tunazokumbana
Meneja Mradi akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe kwa kuandaa maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika kwa mwaka 2023
KIVIDEA Volleyball timu na Timu ya Volleyball ya Chuo cha VETA,jana wamecheza mechi ya kirafiki katika mchezo wa wavu ambapo KIVIDEA timu ilipata ushindi wa
Katika Kuhakikisha Klabu za Vijana walio shuleni na Nje ya shule zinafanya vizuriShirika la KIVIDEA linawapatia Viongozi wa Klabu hizo mafunzo ya Stadi za uongozi
Shirika la KIVIDEA,tumeungana na serikali katika maadhimisho ya siku ya familia na watoto 60 wamegawiwa vifaa cha shule na bima ya afya.
On Saturday, KIVIDEA winded up a 6 day training to 20 Peer Educators from Kigoma Ujiji and 8 MVCs from Uvinza District .The aim of
Meeting with key LGA leaders and gatekeepers in order to sensitize them and stir their commitment to follow up, engage, respond and support youth to
Kikao kazi cha robo ya kwanza kilichofanyika katika ukumbi wa KIVIDEA kwa wazazi/walezi,wanakamati na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ambao wanahidumiwa na shirika kwa lengo
Kigoma Vijana Development Alliance (KIVIDEA) is a registered local non-governmental organization (Reg. No. 00NGO/0009567) based in Kigoma region, that empowers young people on life skills, Sexual and Reproductive Health and Rights (SRHR) and Gender-Based Violence (GBV) using innovative, solution-focused and participatory approaches and provides psychosocial support to Most Vulnerable Children (MVC) and their families.
For More Information visit our contact page
Copyright © 2019 Kigoma Vijana Development Alliance | Designed with love by Newtonfox