Kigoma Vijana Development Alliance
WE ARE AN ORGANIZATION ADDRESSING POVERTY-RELATED ISSUES SURROUNDING YOUTH IN TANZANIA.
2019 KIVIDEA IMPACT
556
touched youth
216
health patients
3,000
successful with us
$56K
SAVED BY KIVIDEA
KIVIDEA draws its funds from various sources as follows: Grants from International and national organizations and public institutions; Members contributions; Donations from good-willed individuals and social groups
TAMASHA LA VIJANA
KIVIDEA imeadhimisha siku ya vijana kwa kufanya tamasha la vijana wa nje na ndani ya shule .Kauli mbiu ikiwa ni KUELEKEA 2023:Vijana na Ujuzi rafiki
Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali 2023
KIVIDEA imehudhuria mkutano wa jukwaa la mashirika yasiyo ya kiserikali( NGO’s) mkoa wa KIGOMA kwa lengo la kufahamiana, kutambua mchango wa kila shirika, changamoto tunazokumbana
Meneja Mradi
Meneja Mradi akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe kwa kuandaa maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika kwa mwaka 2023
Volleyball
KIVIDEA Volleyball timu na Timu ya Volleyball ya Chuo cha VETA,jana wamecheza mechi ya kirafiki katika mchezo wa wavu ambapo KIVIDEA timu ilipata ushindi wa
Mafunzo ya Viongozi wa Klabu
Katika Kuhakikisha Klabu za Vijana walio shuleni na Nje ya shule zinafanya vizuriShirika la KIVIDEA linawapatia Viongozi wa Klabu hizo mafunzo ya Stadi za uongozi
Siku ya Familia na Watoto
Shirika la KIVIDEA,tumeungana na serikali katika maadhimisho ya siku ya familia na watoto 60 wamegawiwa vifaa cha shule na bima ya afya.
KIVIDEA has a long history and good collaboration of working with international organizations and the government. We have accumulated sufficient experience in financial management and have maintained so far our credibility with our partners in that matter.