TAMASHA LA VIJANA
KIVIDEA imeadhimisha siku ya vijana kwa kufanya tamasha la vijana wa nje na ndani ya shule .Kauli mbiu ikiwa ni KUELEKEA 2023:Vijana na Ujuzi rafiki wa mazingira kwa Maendeleo Endelevu.