Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali 2023
KIVIDEA imehudhuria mkutano wa jukwaa la mashirika yasiyo ya kiserikali( NGO’s) mkoa wa KIGOMA kwa lengo la kufahamiana, kutambua mchango wa kila shirika, changamoto tunazokumbana nazo katika utendaji kazi na kutafuta suluhisho la changamoto hizo.
