Volleyball
KIVIDEA Volleyball timu na Timu ya Volleyball ya Chuo cha VETA,jana wamecheza mechi ya kirafiki katika mchezo wa wavu ambapo KIVIDEA timu ilipata ushindi wa seti 3 Kati ya 5.
Michezo huwakutanisha vijana wa rika zote katika kuibua vipaji vyao