kasulu kumekucha
Kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, KIVIDEA imefanya tamasha la michezo katika halmashauri ya kasulu mji, chuo cha maendeleo kasulu (FDC)
Stories of inspiration, resilience, and impact.
Kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, KIVIDEA imefanya tamasha la michezo katika halmashauri ya kasulu mji, chuo cha maendeleo kasulu (FDC)
Jumamosi – Tarehe 13-11-2021 : Shirika la KIVIDEA kupitia kwa youth delegate wake wametekeleza shughuli ya kwanza ya global action month katika manispaa ya Kigoma
Siku ya tarehe 16/10/2021 KiVIDEA ilifanikiwa kufanya hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo Cha Vijana ambacho kilifungwa kwa muda ili kuruhusa shughuli za ukarabati wa
Shirika la KIVIDEA limepata nafasi kushiriki KIKAO CHA ASASI ZINAZOTOA HUDUMA KATIKA ELIMUMSINGI, ambacho kimeanza tarehe16-Agosti mwezi huu- Dodoma. Kikao kimeandaliwa na TAMISEMI. Mwakilishi wa
Kuelekea Siku ya Vijana (12/08/2021) – KIVIDEA imejikita katika kuelimisha vijana ili kuondoa ukatili unao wanzunguka katika jamii. Maana Vijana ni tegemeo kubwa la maendeleo
Zaidi ya watoto 60 ambao wanaishi kwenye maisha magumu wamepatiwa sare za shulena shirika la KIVIDEA , ndani ya Kata nane za manispaa ya Kigoma
KIVIDEA tunawatakia Wanawake wote Duniani, Kheri ya Siku ya WanawakeKAULI MBIU:Wanawake katika Uongozi chachu kufikia Dunia yenye usawa. https://www.jamii.go.tz/ Maandamano ya kuadhimisha siku ya mwanamke
Leo tarehe 06/03/2021 shirika la maendeleo ya vijana Tanzania (KIVIDEA) kwa udhamini wa shirika la tdhs imefanya Hafla ya ugawaji wa vifaa vya shule kwa
Young mothers training of five days in Kasulu Town Council .The training held at Kasulu TTC in Kasulu TC Aim of The Training is to
Kigoma Vijana Development Alliance (KIVIDEA) is a registered local non-governmental organization (Reg. No. 00NGO/0009567) based in Kigoma region, that empowers young people on life skills, Sexual and Reproductive Health and Rights (SRHR) and Gender-Based Violence (GBV) using innovative, solution-focused and participatory approaches and provides psychosocial support to Most Vulnerable Children (MVC) and their families.
For More Information visit our contact page
Copyright © 2019 Kigoma Vijana Development Alliance | Designed with love by Newtonfox