CHEZA NA MIMI(SOCCER BEACH) ni shughuri namba 2 ambayo ni kilele Cha Mwezi wa kuchukua hatua (GAM) kwa kuhakikisha vijana wanavunja ukimya na kukataa ukatili wa kijinsia hivyo ( Youth delgates) wawakilishi wa vijana waliona waongee na vijana wa kike na kiume waliopo eneo la Burega open beach kwa kuwajengea uwezo kwa kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia kwa kuonesha Muundo wa kuripoti kesi za ukatili wa kijinsia hatua ya kwanza mpaka ya mwisho na hivyo kuwa wawakilishi wazuri katika kuchukua hatua endapo Ukatili wa kijinsia ukifanyika eneo hili la beach na hata kwenye jamii zao wanakoishi.
Kataa ukatili vunja ukimya #InternationalYouthNetwork #globalactionmonth #IYN #TerredesHommes #gam2022