Semina ya mafunzo hii imefanyika katika kituo cha Vijana cha KIVIDEA kwa siku 6 yakihusisha Waelimishaji rika 20 na Viongozi 20 wa Klabu Mpya za Vijana mashuleni kuhusiana na Stadi za Maisha, Kupinga Ukatili wa kijinsia, na Afya ya Uzazi.
Washiriki hawa 40 wanatarajiwa kuwafundisha vijana wenzao kwenye Klabu za Mashuleni.