Kuimarisha Ustawi wa Klaburika Mashuleni!
KIVIDEA inatoa mafunzo ya Usimamizi wa Klaburika , Stadi za Maisha
, Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Vijana (SRH)
, Ulinzi wa Mtoto
, pamoja na Kuzuia Ukatili wa Kijinsia (GBV)
, Mbinu za Unasihi za Solution-Focused Approach (SFA)
kwa Walimu Walezi wa Klabu Rika (Patron & Matron), Viongozi wa Klabu (Chairperson & Secretary), Waelimishajirika (Peer Educators), pamoja na Wanakamati wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Magumu (Most Vulnerable Children Committee Members) kutoka Manispaa ya Kigoma Ujiji na Wilaya ya Uvinza.
“Ungana nasi katika kuwawezesha Watoto na Vijana”



