Kuimarisha Ustawi wa Klaburika Mashuleni!
KIVIDEA inatoa mafunzo ya Usimamizi wa Klaburika
, Stadi za Maisha
, Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Vijana (SRH)
, Ulinzi wa Mtoto
, pamoja na Kuzuia Ukatili wa Kijinsia (GBV)
, Mbinu za Unasihi za Solution-Focused Approach (SFA)
kwa Walimu Walezi wa Klabu Rika (Patron & Matron), Viongozi wa Klabu (Chairperson & Secretary), Waelimishajirika (Peer Educators), pamoja na Wanakamati wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Magumu (Most Vulnerable Children Committee Members) kutoka Manispaa ya Kigoma Ujiji na Wilaya ya Uvinza. ![]()
![]()
“Ungana nasi katika kuwawezesha Watoto na Vijana”



