Katika Kuhakikisha Klabu za Vijana walio shuleni na Nje ya shule zinafanya vizuri
Shirika la KIVIDEA linawapatia Viongozi wa Klabu hizo mafunzo ya Stadi za uongozi ili kuwawezesha Vijana Viongozi kusimamia Klabu hizo kwa ufanisi na kuleta matokeo mazuri.
![](https://kividea.or.tz/wp-content/uploads/2023/05/IMG_20230519_181529_557-1024x682.jpg)
![](https://kividea.or.tz/wp-content/uploads/2023/05/IMG_20230519_181528_825-1024x682.jpg)