Siku ya Jumamosi tarehe 22-10-2022 Shirika la KIVIDEA tulikua na mdahalo kati ya Majengo Primary na Gungu Secondary na mada ilikuwa “JE KUNA UMUHIMU MTOTO KUPATA ELIMU YA UKIMWI” – Majengo walikua wanakubaliana na mada na Gungu walikuwa wanakataa,
Pia tulikua na vipengele mbali mbali kama kama michezo na burudani ili kutuweka pamoja.




