

Kikao kazi cha robo ya kwanza kilichofanyika katika ukumbi wa KIVIDEA kwa wazazi/walezi,wanakamati na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ambao wanahidumiwa na shirika kwa lengo la kupeana uzoefu katika utendaji kazi,changamoto wanazokutana nazo na kupeana ushauri nasihi .Pia kutambulisha wafanyakazi wapya ambao watasimamia mradi wa AFYA YANGU,MAENDELEO YANGU.