Mafunzo Kwa Watendaji -Wilaya ya Uvinza
Leo tarehe 28/05/2019 siku ya jumatano Shirika la Maendeleo ya Vijana Tanzania {KIVIDEA} linaendesha mafunzo kwa watendaji na watoa huduma za UZAZI wa MPANGO wa kata mbalimbali za wilaya za UVINZA na MANISPAA YA KIGOMA-UJIJI.