Jumamosi – Tarehe 13-11-2021 : Shirika la KIVIDEA kupitia kwa youth delegate wake wametekeleza shughuli ya kwanza ya global action month katika manispaa ya Kigoma ujiji lengo ikiwa ni kufikisha ujumbe na kuhamasisha jamii kutokalia kimya vitendo vya ukatili

Vijana kutoka shule ya msingi Burega Vijana kutoka shule ya msingi Burega Afro kiss KiVIDEA wakifanya yao katika shughuli ya global action month ambayo kwa mwaka huu kaul mbiu ni UKATILI HAUKUBALIKI, YOUTH CAN CHANGE THE WORLD