Wageni kutoka Tdh pamoja na jopo la KIVIDEA tuliweza shiriki Bonanza la michezo mbalimbali ambalo limekutanisha klabu za afya ya uzazi zinazosimamiwa na shirika la KIVIDEA zilizopo manispaa ya Kigoma ujiji siku ya tarehe 1/05/2022


tulipata nafasi ya kutembelea kikundi cha super woman kilichopo kata ya Kibilizi manispaa ya kigoma ujiji ili kujua maendeleo ya kikundi

Na kushiriki kipindi cha klabu ya Afya ya uzazi iliyopo shule ya msingi Muungano manispaa ya Kigoma ujiji na mambo yalikua so fire