Kigoma Vijana Development Alliance

KIVIDEA YAENDESHA MAFUNZO KWA WAELIMISHAJI RIKA (PEER EDUCATORS) NA VIONGOZI WA KLABU (CLUB LEADERS) ZA VIJANA MASHULENI:

Semina  ya mafunzo hii imefanyika katika kituo cha Vijana cha KIVIDEA kwa siku 6 yakihusisha Waelimishaji rika 20 na Viongozi 20 wa Klabu Mpya za Vijana mashuleni kuhusiana na Stadi za Maisha, Kupinga Ukatili wa kijinsia, na Afya ya Uzazi.

Washiriki hawa 40 wanatarajiwa kuwafundisha vijana wenzao kwenye Klabu za Mashuleni.

#terredeshommesschweiz

#afyayangumaendeleoyangu

#kividea_tz #kigoma

kividea

kividea

Leave a Reply

About Us

WE ARE AN ORGANIZATION ADDRESSING POVERTY-RELATED ISSUES SURROUNDING YOUTH IN TANZANIA

Recent Posts

Follow Us

Current Video in our channel