Kigoma Vijana Development Alliance

MAFUNZO KWA WALIMU WALEZI WA KALBU MPYA ZA VIJANA MASHULENI NA WANAKAMATI WA WAZAZI/WALEZI WA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI

Ufahamu wa kina kuhusu Afya ya Uzazi, ushauri wa klabu, mbinu ya ufumbuzi ya Solution-Focus Approach (SFA), na ukatili wa kijinsia imekuwa ni chachu ya ustawi wa Klabu za Vijana za shuleni kwani wamekuwa wakishirikiana bega kwa bega nasi kama KIVIDEA kwa kila hatua. Picha ni Baadhi ya washiriki wa semina ya Walimu Walezi 20 wa klabu za vijana na Wanakamati 15 wa Watoto waishio katika mazingira magumu, yaliyofanyika kituo cha Vijana cha KIVIDEA.

#terredeshommesschweiz

#afyayangumaendeleoyangu

#Vijana

#kividea

#kigoma 

kividea

kividea

Leave a Reply

About Us

WE ARE AN ORGANIZATION ADDRESSING POVERTY-RELATED ISSUES SURROUNDING YOUTH IN TANZANIA

Recent Posts

Follow Us

Current Video in our channel