Leo tarehe 06/03/2021 shirika la maendeleo ya vijana Tanzania (KIVIDEA) kwa udhamini wa shirika la tdhs imefanya Hafla ya ugawaji wa vifaa vya shule kwa watoto 60 kutoka kata nne za manispaa ya kigoma ujiji ambazo ni Mwanga kaskazini, Rusimbi, Gungu na Katubuka.
kividea
Leave a Reply
About Us
WE ARE AN ORGANIZATION ADDRESSING POVERTY-RELATED ISSUES SURROUNDING YOUTH IN TANZANIA