KIVIDEA tunawatakia Wanawake wote Duniani, Kheri ya Siku ya Wanawake
KAULI MBIU:Wanawake katika Uongozi chachu kufikia Dunia yenye usawa.
Maandamano ya kuadhimisha siku ya mwanamke duniani tuliungana na wadau
Shirika la KIVIDEA tumepata nafasi ya kueleza shughuli tunazotekeleza kwa mgeni rasmi