Utoaji wa huduma za UPIMAJI WA UKIMWI, UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO na UCHANGIAJI DAMU.
Ukitolewa wakati wa tamasha lilioandaliwa na Shirika la Maendeleo ya Vijana Tanzania (KIVIDEA) lililofanyika tarehe 27/06/2019 katika viwanja vya shule ya Sekondari Katubuka MANISPAA YA KIGOMA – UJIJI. Tamasha hilo limefadhiliwa na Shirika la terre des hommes schweiz
Leave a Reply
About Us
WE ARE AN ORGANIZATION ADDRESSING POVERTY-RELATED ISSUES SURROUNDING YOUTH IN TANZANIA