Kividea kusaidia wanafunzi Kigoma Ujiji zaidi ya 60
Zaidi ya watoto 60 ambao wanaishi kwenye maisha magumu wamepatiwa sare za shule
na shirika la KIVIDEA , ndani ya Kata nane za manispaa ya Kigoma Ujiji.