Mkurugenzi Mtendanji (KIVIDEA) akifungua Mafunzo
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la maendeleo ya vijana Tanzania {KIVIDEA} akifungua mafunzo kwa Watendaji wa Kata na watoa huduma za UZAZI wa mpango kutoka kata za UVINZA na MANISPAA YA KIGOMA UJIJI. Mafunzo ambayo yalianza tarehe 28/05/2019
