Maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika,watoto wakiwa katika maandamano kutoka viwanja vya community center kuelekea viwanja vya shule ya sekondari Katubuka #DAC2022 #MtotowaAfrika #DayofAfricanChild
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa Africa yalihitimishwa hivyo kwa wanafunzi wa chuo cha uuguzi wakitoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa siku hiyo wakishirikiana na afisa maendeleo wa kibondo