KIVIDEA KATIKA TAMASHA LA MWEZI WA KUCHUKUA HATUA (GLOBAL ACTION MONTH (GAM)) NOV, 2024
“Akili ni Muhimu, Vunja Ukimya” Tamasha hili liliandaliwa kwa ushirikishwaji wa wafanyakazi wa KIVIDEA na Wajumbe wa Vijana (Youth Delegates), kuhakikisha uratibu mzuri siku nzima.