Tunapaza sauti kuhakikisha jamii hasa kundi la vijana wanapata elimu na huduma juu ya KUPINGA UKATILI, WA KIJINSIA, AFYA YA UZAZI na UZAZI WA MPANGO. KIVIDEA kwa kufadhiliwa na shirika la TERRE DES HOMES SCHWEIZ katika kata ya NGURUKA wilaya ya UVINZA wakitoa elimu na huduma za UZAZI WA MPANGO, UPIMAJI WA VVU NA UKIMWI, UKATILI WA KIJINSIA na STADI ZA MAISHA
kividea
Leave a Reply
About Us
WE ARE AN ORGANIZATION ADDRESSING POVERTY-RELATED ISSUES SURROUNDING YOUTH IN TANZANIA