News & Events

Wanafunzi wakishiriki Michezo katika Tamasha (Kata ya katubuka

Michezo ni sehemu ya kutoa elimu na hamasa kwa vijana. Wanafunzi wa shule za Sekondari za Katubuka, Gungu, Kichangachui, Rusimbi, Mwananchi, Mlole na Buhanda wakishiriki michezo mbalimbali wakati wa Tamasha la utoaji wa Elimu na Huduma za STADI ZA MAISHA, UKATILI WA KIJINSIA, UPIMAJI WA UKIMWI, UTOAJI WA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO na UCHANGIAJI DAMU SALAMA.
tamasha limeandaliwa na shirika la Maendeleo ya Vijana Mkoani Kigoma kwa Ufadhili wa shirika la terre des hommes shweiz.

Leave A Comment

Your Comment
All comments are held for moderation.

− 1 = 6
Powered by MathCaptcha