
JE KUNA UMUHIMU MTOTO KUPATA ELIMU YA UKIMWI
Siku ya Jumamosi tarehe 22-10-2022 Shirika la KIVIDEA tulikua na mdahalo kati ya Majengo Primary na Gungu Secondary na mada ilikuwa “JE KUNA UMUHIMU MTOTO
Stories of inspiration, resilience, and impact.
Siku ya Jumamosi tarehe 22-10-2022 Shirika la KIVIDEA tulikua na mdahalo kati ya Majengo Primary na Gungu Secondary na mada ilikuwa “JE KUNA UMUHIMU MTOTO
Hello Tanzania!shirika la Kividea kwa kushirikiana na Tanzania Youth Digital Summit (TYDS) limetoa fursa kwa vijana wa halmashauri ya kigoma ujiji kuhudhulia kongamano la vijana
Kila mmoja anahusika kujenga uchumi imara,ustawi na maendeleo endelevu jiandae kuhesabiwa.Kijana wajibika kuleta maendeleo#IYD2022
KIVIDEA LEO tumeweza fanya Kikao na wafanya maamuzi wa taasisi za serikali ili kuona ni jinsi gani huduma zinakuwa rafiki na zinapatikana kwa urahisi kwa
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika,watoto wakiwa katika maandamano kutoka viwanja vya community center kuelekea viwanja vya shule ya sekondari Katubuka #DAC2022 #MtotowaAfrika #DayofAfricanChild
Wageni kutoka Tdh pamoja na jopo la KIVIDEA tuliweza shiriki Bonanza la michezo mbalimbali ambalo limekutanisha klabu za afya ya uzazi zinazosimamiwa na shirika la
Kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, KIVIDEA imefanya tamasha la michezo katika halmashauri ya kasulu mji, chuo cha maendeleo kasulu (FDC)
Jumamosi – Tarehe 13-11-2021 : Shirika la KIVIDEA kupitia kwa youth delegate wake wametekeleza shughuli ya kwanza ya global action month katika manispaa ya Kigoma
Siku ya tarehe 16/10/2021 KiVIDEA ilifanikiwa kufanya hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo Cha Vijana ambacho kilifungwa kwa muda ili kuruhusa shughuli za ukarabati wa
Shirika la KIVIDEA limepata nafasi kushiriki KIKAO CHA ASASI ZINAZOTOA HUDUMA KATIKA ELIMUMSINGI, ambacho kimeanza tarehe16-Agosti mwezi huu- Dodoma. Kikao kimeandaliwa na TAMISEMI. Mwakilishi wa
Kigoma Vijana Development Alliance (KIVIDEA) is a registered local non-governmental organization (Reg. No. 00NGO/0009567) based in Kigoma region, that empowers young people on life skills, Sexual and Reproductive Health and Rights (SRHR) and Gender-Based Violence (GBV) using innovative, solution-focused and participatory approaches and provides psychosocial support to Most Vulnerable Children (MVC) and their families.
We are looking forward to welcome anyone individual, organization or company who wishes to collaborate or partner with us to help achieve our goals.
For More Information visit our contact page
Copyright © 2019 Kigoma Vijana Development Alliance | Designed with love by Newtonfox