Hongera Kijana wetu Samweli (Wapili kutoka kulia) kwa kuhitimu mafunzo ya wanajeshi wa akiba (Mgambo) kati ya wahitimu 77 yaliyofanyika leo katika kiwanja cha lake tanganyika-Kigoma.Hivyo familia ya kividea haikuona budi kufurahia pamoja na kijana wetu katika mahafali hayo.Samweli ni miongoni kwa wanufaika wa vijana wa KIVIDEA.
Congratulations Samuel for Graduating Reserve soldiers
Samuel is among of the beneficiaries of KIVIDEA
Has also given the Gift from District commissioner of being the Best leader to Lead the Pared