Huduma bora za Uzazi wa Mpango kwa vijana.
Utoaji wa huduma za UPIMAJI WA UKIMWI, UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO na UCHANGIAJI DAMU.Ukitolewa wakati wa tamasha lilioandaliwa na Shirika la Maendeleo
Stories of inspiration, resilience, and impact.
Utoaji wa huduma za UPIMAJI WA UKIMWI, UTOAJI WA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO na UCHANGIAJI DAMU.Ukitolewa wakati wa tamasha lilioandaliwa na Shirika la Maendeleo
Michezo ni sehemu ya kutoa elimu na hamasa kwa vijana. Wanafunzi wa shule za Sekondari za Katubuka, Gungu, Kichangachui, Rusimbi, Mwananchi, Mlole na Buhanda wakishiriki
Ni siku ya Mtoto wa Africa : Mtoto ni msingi wa Taifa Endelevu tumtunze na Kumuendeleza Kimkoa Tupo Kibondo
Wana klabu wa klabu ya STADI ZA MAISHA, AFYA YA UZAZI na UKATILI WA KIJINSIA kutoka katika Shule ya Sekondari KICHANGACHUI waki-shine katika picha ya
Elimu na Upimaji wa VVU na UKIMWI ni muhimu katika kuhakikisha tunakuwa na jamii yenye afya bora na isyokuwa na maambukizi mapya ya VVU na
Tunapaza sauti kuhakikisha jamii hasa kundi la vijana wanapata elimu na huduma juu ya KUPINGA UKATILI, WA KIJINSIA, AFYA YA UZAZI na UZAZI WA MPANGO.
Ni muhimu sana kuwapatia elimu vijana ili waweze kukabiliana na changamoto zinazowakabili katika jamii zao. Hawa ni vijana wakipata elimu na taarifa kuhusu UZAZI WA
Leo tarehe 28/05/2019 siku ya jumatano Shirika la Maendeleo ya Vijana Tanzania {KIVIDEA} linaendesha mafunzo kwa watendaji na watoa huduma za UZAZI wa MPANGO wa
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la maendeleo ya vijana Tanzania {KIVIDEA} akifungua mafunzo kwa Watendaji wa Kata na watoa huduma za UZAZI wa mpango kutoka kata
We have a pre-school and day care centre that takes in between 50 – 70 children, among whom are orphans and vulnerable children in Kigoma
Kigoma Vijana Development Alliance (KIVIDEA) is a registered local non-governmental organization (Reg. No. 00NGO/0009567) based in Kigoma region, that empowers young people on life skills, Sexual and Reproductive Health and Rights (SRHR) and Gender-Based Violence (GBV) using innovative, solution-focused and participatory approaches and provides psychosocial support to Most Vulnerable Children (MVC) and their families.
We are looking forward to welcome anyone individual, organization or company who wishes to collaborate or partner with us to help achieve our goals.
For More Information visit our contact page
Copyright © 2019 Kigoma Vijana Development Alliance | Designed with love by Newtonfox