Hello Tanzania!shirika la Kividea kwa kushirikiana na Tanzania Youth Digital Summit (TYDS) limetoa fursa kwa vijana wa halmashauri ya kigoma ujiji kuhudhulia kongamano la vijana lililokua likitoa elimu ya ufanyaji wa shughuli za ujasiliamali kwa mfumo wa digital, kongamano hilo limefanyika leo katika ukumbi wa kividea youth center uliopo mjini kigoma. Asante kwa wote walishiriki Mubashara kwenye ukurasa wetu wa instagram na facebook #TYDS2022 http://www.youthdigitalsummit.or.tz/
kividea
Leave a Reply
About Us
WE ARE AN ORGANIZATION ADDRESSING POVERTY-RELATED ISSUES SURROUNDING YOUTH IN TANZANIA